Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajia kumpokea Rais wa Jamuhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi tarehe 02 Julai, 2024 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Nyusi anatarajia kuwasili leo jioni ambapo atafanya Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.
Rais Nyusi pia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kiamataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) siku ya tarehe 03 Julai, 2024
Kisha Rais Nyusi ataondoka nchini tarehe 04, Julai, 2024.
Powered by; @acbtanzania_ @kobemotor @betpawatanzania @wearekerry
#KonceptTvUpdates