Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amewaomba wananchi kutembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Maonesho ya SABASABA kwa
Day: July 2, 2024
Raisa Sai,Tanga Usajili wa wanachama kidigitali katika Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Tanga umepata msukumo mkubwa baada ya Jumuiya hizo kupokea simu janja
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital DOUALA, Cameroon – Msanii anayekuja kwa kasi barani Afrika, Dura King, ameendelea kuwapa raha mashabiki zake kwa kuachia albamu fupi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwaongoza viongozi wengine wa
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Kituo cha Afya cha Gumanga kilichopo kata ya Gumanga Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama kimefanikiwa kufanya upasuajia mkubwa wa kwanza
Naibu wa Waziri wa Kilimo David jana amefungua rasmi maadhimisho ya wiki ya ushirika duniani, ambayo kwa kawaida yanaambatana na maonesho ya shughuli za ushirika,
Na Mwandishi Wetu,Mara Bodi na Menejimenti ya Tume ya Ushindani (FCC) imetembelea Kituo cha ukaguzi wa pamoja (OSBP) kilichopo Sirari Wilayani Tarime
Tanga. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali ikiwemo mawaziri na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Uteuzi huo
Na Mwandishi Wetu MKESHA mkubwa wa kuvuka nusu mwaka Kufanyika Dodoma Juni 5 ndani ya Ukumbi wa Jakaya Conversion Center Mkesha huo unaenda kwa jina
UONGOZI wa Hoteli ya APC wameiomba serikali kuongeza siku na muda wa maonesho ya 48 ya biashara ya kimataifa sabasaba kwani bado watu wanauhutaji