HIKI HAPA CHANZO CHAMA KUTAMBULISHWA YANGA BILA JEZI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Afisa habari na mawasiliano Young Africans SC atoa sababu iliyopelekea wao kama klabu kufanya uamuzi wa  kumtambulisha Mchezaji Cleoutus Chama  bila ya kuvalia uzi wa klabu hio.

“Suala la Usajili wa Chama ni sehemu ya biashara yetu. Kila mtu anakiri kuwa usajili wa Chama ni usajili mkubwa. Najua wengi wanauliza kwanini hatujamtambulisha Chama na jezi ya Yanga. Mtiririko wa matukio ya usajili huu wa Chama kwetu ni fursa. Najua wengi wanatamani kujua Chama ataonekanaje na jezi ya Yanga. Hapo ndipo tunalenga kuuza usajili huu” Ally Kamwe

Powered by; @acbtanzania_ @kobemotor @betpawatanzania @wearekerry
#KonceptTvUpdatesCLATOUS CHOTA CHAMA MCHEZAJI WA KWANZA MPYA YANGA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS -  ONLINE

Related Posts