RAIS SAMIA AWAONGOZA VIONGOZI MBALIMBALI KWENYE CHAKULA CHA MCHANA ALIYOMWANDALIA MGENI WAKE RAIS NYUSI




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwaongoza viongozi wengine wa Chama na Serikali, pamoja na wananchi mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha mchana aliyomwandalia mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi, leo Jumanne Julai 2, 2024, Ikulu jijini Dar Es Salaam. Rais Nyusi yuko ziara ya kiserikali ya siku tatu nchini.

Related Posts