Shangwe la akina mama Shinyanga ‘Dkt Samia mitano tena’

Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani alivyoibua Shangwe leo kwenye Kongamano la Wanawake wa Mkoa wa Shinyanga linalolenga kuhamasisha Wananchi kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura kwa mwaka 2024.

Mgeni rasmi katika Kongamano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Miligo Hall Manispaa ya Kahama alikuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Marry Chatanda.

Related Posts