Big Joe atoa Milioni 100 Vijana wakijue kitabu cha Mufti

Ni July 3, 2024 ambapo Mkurugenzi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga promosheni ya kukitangaza kitabu yenye thamani ya Shilingi Millioni 100 kuhakikisha kitabu cha ‘Mmomonyoko wa Maadili Nani Alaumiwe?’ kilichondikwa na Mhe. Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally Mbwana, Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania kinawafikiwa vijana wote Tanzania.

“Mkurugenzi au Mwenyekiti wa Clouds Media Group Joseph Kusaga amenielekeza nitoe ahadi ya nini kitafanyika kuanzia sasa na kwenda mbele baada ya uzinduzi huu ambapo itafanyika promosheni ya kukitangaza kitabu yenye thamani ya Shilingi Millioni 100 Kitanzania kwa ajili ya kuhakikisha kitabu na kinafika kila sehemu Tanzania” – Mkuu wa Maudhui Clouds Media Group ndugu Sebastian Maganga.

 

Related Posts