CHAMA AIPA “THANK YOU” SIMBA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Nyota wa Soka la kulipwa Kimataifa, Clatous Chama ambaye ni raia wa Zambia (aliamarufu kama Mwamba wa Lusaka/ Tripple C) amefanya uamuzi wa busara kuishukuru klabu yake ya zamani, Simba SC na mashabiki wake kwa kuweza kumtengeneza Chama aliye bora zaidi katika nyanja ya Soka Barani Afrika.

Chama ameweza kuitumikia klabu ya Simba SC kwa misimu Sita yaani tangu aje hadi sasa ametimiza miaka 6.

Mchango wa nyota huyo ndani ya Msimbazi ulikuwa una chachu kubwa katika kuyaelekea mafanikio ambayo klabu hiyo imeyapata hadi wakati huu.

Kwani ameisaidia Simba kutwaa Ubingwa Misimu Minne Mfululizo 2018/19, 2019/20, 2020/21, 2021/22 na kuweza shiriki Michuano ya Klabu Bingwa mara tano mfululizo licha ya kuwa iliweza ishia hatua ya robo kila iliposhiriki.

Chama kwa sasa ahesabiwa kuwa mchezaji mahiri ambaye Yanga itajivunia kunasa saini yake.

Powered by; @acbtanzania_ @kobemotor @betpawatanzania @wearekerry
#KonceptTvUpdates

Related Posts