DIARRA KUSALIA YANGA HADI 2027 – MWANAHARAKATI MZALENDO

Golikipa nambari moja wa Yanga, Djigui Diarra raia wa nchini Mali ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuwatumikia Wananchi wa Jangwani.

Mkataba mpya aliosaini utadumu kwa misimu mitatu yaani kwa mwaka 2024/25, 2025/26 na 2026/27 ambao utakuwa msimu wake wa mwisho

Hivyo, Mlinda lango huyo anasalia kuwa mali safi ya klabu hio kutokana na uwezo bora aliyouonesha katika misimu ya nyuma akiwa na kikosi cha timu hiyo.
Powered by; @acbtanzania_ @kobemotor @betpawatanzania @wearekerry

#KonceptTvUpdates

Related Posts