EL MERREIKH YAMUUZA MUSTAFA KWA AZAM – MWANAHARAKATI MZALENDO

Klabu ya Azam FC yafikia makubaliano na klabu ya El Merreikh ya Sudan ya kumnunua moja kwa moja kipa Mohamed Mustafa, baada ya mkataba wa awali wa mkopo kumalizika.

Hivyo, kipa huyo aliyejidhihirisha kuwa na uwezo Bora ataendelea kusalia viunga vya Chamazi hadi mwaka 2026.

#KonceptTvUpdatesImage

Related Posts