Afisa Mkuu wa TEHAMA kutoka PSPTB Elihuruma Eliufoo akitoa maelezo kuhusu namna ya kujiunga na Bodi kwa wananchi waliofika katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) lililopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Afisa Elimu Mwandamizi kutoka PSPTB George Ngelime akitoa maelezo kwa wanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) lililopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Afisa Mkuu wa TEHAMA kutoka PSPTB Elihuruma Eliufoo akitoa maelezo kuhusu namna ya kufanya mitihani ya Bodi kwa wanafunzi waliofika katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) lililopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Afisa kutoka PSPTB, Vincent Mwaimu(kulia) akitoa elimu kwa wananchi walipotembelea Banda la Bodi na kusaini kitabu cha wageni katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) lililopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano kwa Umma ( PSPTB), Shamim Mdee(kulia) akiwa na Meneja Mawasiliano kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) alipotembelea Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) lililopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano kwa Umma ( PSPTB), Shamim Mdee(kulia) akimkabidhi zawadi ya kikombe Meneja Mawasiliano kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) alipotembelea Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) lililopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa PSPTB wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) lililopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.