Mh. Dkt Selemani Jafo ateuliwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, anakaimu nafasi hiyo akitoka kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Yusuph Mwenda kuwa Kaminsha Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRARais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Muungano na Mazingira)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Alphayo Japan Kidata ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais, Ofisi ya Rais – Ikulu. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Kidata alikuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).