Picha ya pamoja ya Wajumbe wa Tume ya Mipango na Timu Kuu ya Kitaalam ya Dira 2050, kilichohudhuliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe. Pro. Kitila Mkumbo (Mb) aliyeketi Katikati pamoja na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba mara baada ya kumaliza kikao kazi cha timu kuu yakitaalamu ya Dira 2050 kilichofanyika katika Hoteli ya APC, jijini Dar es Salaam.