Mkurugenzi wa Huduma za Shirika NBAA CPA Kulwa Malendeja pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu, APC Hotel & Conference Center CPA Wenceslaus W. Mkenganyi wakiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam
alipotembelea Banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam
Afisa Mtendaji Mkuu, APC Hotel & Conference Center CPA Wenceslaus W. Mkenganyi akiasaini kitabu alipotembelea Banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Huduma za Shirika NBAA CPA Kulwa Malendeja akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam