Uongozi wa Young Africans SC na wazee wa klabu hiyo, leo wamefanya dua maalum kwaajili ya kumuombea aliyekuwa Mfadhili na Mwenyekiti wao Yusuf Manji aliyefariki dunia Juni 30, nchini Marekani. Cc; @azamtv
#KonceptTvUpdates