Afisa msajili. Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) ,Mariam Ling’ande (kulia) wakiendelea na kazi ya kuwahudumia wananchi waliotembelea mbanda hilo katika maonesho ya kimataifa yanayo fanyika Sabasaba jijini Dar as Salaam.
Mafisa mbalimbali wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) wakiendelea na kazi ya kuwahudumia wananchi waliotembelea mbanda hilo katika maonesho ya kimataifa yanayo fanyika Sabasaba jijini Dar as Salaam.
Kazi ikiendelea
Wananchi wakiwa kwenye foleni ya kwenda kujisajili ili kupata cheti cha kuzaliwa kwenye banda la wakala wa Usajili na Udhamini( RITA) kwenye maonesho yanayoendelea ya 48 ya kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam maarufu kwa Sabasaba jijini Dar es salaam jana.