Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Khamis Juma akisaini kitabu wakati alipotembelea Banda la NIC insurance kwenye Maonesho 48 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma akipata maelezo kutoa Afisa Bima wa NIC Insurance Deogratius Mlumba wakati Jaji Mkuu hiyo alipotembelea Banda la NIC insurance kwenye Maonesho 48 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ambapo alipata elimu kuhusiana na Bima mbalimbali zinazotolewa na NIC katika Viwanja vya Sabasaba
Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Khamis Juma akisoma machapisho ya NIC wakati alipotembelea Banda la NIC insurance kwenye Maonesho 48 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt.Eliezer Feleshi akisaini kitabu wakati alipotembelea Banda la NIC insurance kwenye Maonesho 48 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Kamishina Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar CP Hamad Khamis akipata maelezo kutoka Afisa Uhusiano wa NIC Insurance Enfransia Mawalla wa pili kutoka kutoka kushoto wakati alipotembelea Banda la NIC insurance kwenye Maonesho 48 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.