WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA GREAT RUAHA MARATHON

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika mbio za Great Ruaha Marathon 2024 zilizofanyika ndani ya  hifadhi ya Ruaha, Mkoani Iringa, Julai 6, 2024.  Mbio hizo zililenga kukuza utalii  na kutoa hamasa ya kuhifadhi mazingira kwenye vyanzo vya maji vya Mto Ruaha Mkuu.  

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 06, 2024 ameshiriki katika mbio za *Great Ruaha Marathon 2024* zilizofanyika katika hifadhi ya Ruaha, mkoani Iringa.

Mbio hizo zinalenga kukuza utalii wa Kusini na kutoa hamasa kwa jamii kuhifadhi mazingira kwenye vyanzo vya maji vya Mto Ruaha mkubwa.

Aidha, lengo jingine ni kuhamasisha mazoezi na afya bora.

#GreatRuahaMarathon2024
#VibeKitalii

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika mbio za Great Ruaha Marathon 2024 zilizofanyika ndani ya  hifadhi ya Ruaha, Mkoani Iringa, Julai 6, 2024.  Mbio hizo zililenga kukuza utalii  na kutoa hamasa ya kuhifadhi mazingira kwenye vyanzo vya maji vya Mto Ruaha Mkuu.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza  baada ya kushiriki katika mbio za Great Ruaha Marathon 2024 zilizofanyika ndani ya  hifadhi ya Ruaha, Mkoani Iringa, Julai 6, 2024.  Mbio hizo zililenga kukuza utalii  na kutoa hamasa ya kuhifadhi mazingira kwenye vyanzo vya maji vya Mto Ruaha Mkuu.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Related Posts