Golikipa Khomeiny Aboubakar ajiunga na Yanga SC

Golikipa Khomeiny Aboubakar (25) amejiunga rasmi na Yanga SC akitokea Ihefu SC, sasa anakuja kuwania namba dhidi ya Djigui Diarra na Aboutwalib Mshery.

Khomeiny ambaye amewahi kucheza timu za Tanzania za vijana za U-20 na U-23, anakuwa mchezaji wa nne kutambulishwa na Yanga katika kipindi hiki cha usajili baada ya Clatous Chama, Prince Dube na Boka Chadrack.

Related Posts