JEAN BALEKE KUCHUKUA NAFASI YA GUEDE YANGA – MWANAHARAKATI MZALENDO

#MICHEZO Nyota wa zamani Simba SC Jean Othos Baleke anatajwa zaidi kuichukua nafasi ya mchezaji Joseph Guede wa Yanga ambaye alijiunga na klabu hio kupitia Dirisha dogo la usajili msimu uliomalizika akitokea AS FAR Rabat ya nchini Morocco

#KonceptTvUpdates

Related Posts