DAWASA wana habari hii ikufikie wewe Mwananchi

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inapenda kuwatarifu wateja na Wananchi katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, kuwa zoezi la usomaji mita za Maji utaanza Julai 10 hadi 15 2024.

Mamlaka inaomba ushirikiano kwa Wananchi pindi watoa huduma wa DAWASA watakapopita kutekeleza zoezi hili.

Baada ya zoezi la usomaji mita kukamilika, Mteja atapokea ujumbe wa kuhakiki usomaji wa mita yake kaba ya bili kutumwa.

Related Posts