JOHN BOCCO AJIUNGA NA JKT TANZANIA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Klabu ya JKT Tanzania imefanikiwa kumsajili Mchezaji wa Zamani wa Simba SC, John Raphael Bocco baada ya kumaliza mkataba wake na Klabu hio Msimu ulioptita.

Bocco anatambulishwa pamoja na Charles Ilamfya aliyekuwa anakipiga mnamo Klabu ya Mtibwa Sugar ambayo Imeshuka Daraja Msimu uliomalizika ili Kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji.

#KonceptTvUpdatesInaweza kuwa picha ya Watu 2 na maandishi

Related Posts