LAMINE YAMAL AWEKA REKODI YA KUWA MCHEZAJI BORA UEFA – MWANAHARAKATI MZALENDO

πŸ₯‡ Nyota kinda wa Soka la kulipwa, Lamine Yamal wa nchini Hispania anaweka rekodi yake ya kipekee ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi aliyewahi kushinda Mchezaji Bora wa Mechi katika mchezo wa UEFA.

Sifa nyingine kedekede ni hizi hapa alizozipata Lamine Yamal;

β—‰ Mchezaji kinda aliyewahi kufunga kwenye Euro.

Mchezaji kijana aliyewahi kusaidia kwenye Euro.

β—‰ Mchezaji kijana aliyewahi kushiriki katika Euro.

β—‰ Mchezaji kinda aliyewahi kushiriki katika el ClΓ‘sico.

β—‰ Mchezaji kinda aliyewahi kufunga katika mchezo wa La Liga.

◉ Mchezaji kinda aliyewahi kusaidia katika jezi ya Barça.

β—‰ Mchezaji kinda aliyewahi kuwa katika historia ya Barcelona kufikisha michezo 50 rasmi.

β—‰ Mchezaji kinda aliyewahi kushiriki katika mchezo wa mtoano wa UEFA Champions League.

β—‰ Mchezaji kinda aliyewahi kufunga mabao mawili katika historia ya La Liga.

β—‰ Mchezaji kinda aliyewahi kufika kwenye jukwaa la tatu bora la Golden Boy.

#KonceptTvUpdates

Related Posts