MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO AHANI MSIBA WA MWANAKIJIJI

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiifariji
familia na waombolezaji mbalimbali kufuatia kifo cha Bi. Doleta Minya
kilichotokea tarehe 09 Julai 2024. Makamu wa Rais ametoa pole hizo wakati alipoitembelea
familia ya marehemu akiwa Kijiji Kasumo Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma tarehe
11 Julai 2024.

 

Related Posts