HAYA HAPA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2024 – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024, leo Jumamosi Julai 13, 2024 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar.

 

Kuangalia matokeo bonyeza hapa: Matokeo Kidato cha Sita 2024

 

Jumla ya watahiniwa 113,504 walifanya mtihani wa kidato cha sita, mwaka huu ambapo ulifanyika kwenye jumla ya shule 931 na vituo vya watahiniwa wa kujitegemea 258

 

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Said Mohamed amesema ufaulu kwa ujumla mwaka huu umepanda kwa asilimia 0.26 ukilinganisha na mwaka uliopita.

 

Kuangalia matokeo ya Mtihani wa Ualimu (DSEE) 2024 bonyesha hapa

Aidha, amesema matokeo kwa masomo yote ufaulu wake upo zaidi ya asilimia 90.

Kuangalia matokeo ya Mtihani wa Ualimu (GATCE) 2024 bonyeza hapa

 

Related Posts