KOCHA WA SIMBA AKOSHWA NA USAJILI – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

Kocha Mkuu wa Simba SC Fadlu Davids kutoka nchini Afrika Kusini amekoshwa na usajili unaondelea ndani ya wababe hao wa Msimbazi kutokana na kusajili nyota wengi wenye umri mdogo pamoja na kuwa vipaji vikubwa kuelekea msimu wa mashindano wa 2024-25.

 

Akizungumza Jijini Dar es Salaam,Meneja Habari na Mawasiliano Simba SC, Ahmed Ally amesema mkufunzi mkuu wa klabu hiyo Fadlu Davids amelizishwa na kikosi cha Simba kutokana na umri unaofundishika,wana nguvu na morali na anaimani kikosi hicho kitafanya mazuri kwa ajili ya msimu unaokuja 2024-25.

 

Related Posts