Mchezaji na mshambuliaji Waziri Junior ameisaini Dodoma Jiji FC kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea KMC FC ambapo amemaliza mkataba wake.
Waziri Jr kwenye mkataba wake kuna kipengele cha kumruhusu kuondoka ikitokea amepata timu nje.
Agent yake ina ofa kutoka nchini Qatar kwa timu ya daraja kwanza.
Chanzo: Nassibu Mkomwa