Credit: Mike Kemp/In Picha kupitia Getty Images Maoni na Andrew Firmin (london) Jumatatu, Julai 15, 2024 Inter Press Service LONDON, Julai 15 (IPS) – Wimbi
Day: July 15, 2024
Dar es Salaam. Jiji la Dar es Salaam limewapa wakandarasi siku 14 za uangalizi katika ujenzi wa barabara na endapo watashindwa hawatasita kuvunja nao mkataba.
Dar es Salaam. Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani na moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Harun Nyagori amesema takribani asilimia
Mwanza. Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imetoa ruhusa kwa wakili Steven Kitale kuwasilisha maombi ya mapitio ya kisheria dhidi ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)
Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Manispaa ya Ubungo, kuzingatia maoni ya wafanyabiashara wadogo maarufu kama Machinga katika mpango wake wa kuliendeleza Soko
Dar es Salaam. Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya mauaji, Najit Joginda ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kumpangia tarehe ambayo ataenda mahakamani hapo kwa
Dar es Salaam. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeeleza kuwa, mwaka huu kinalenga kusajili uwekezaji wa Dola 10 bilioni za Marekani (Sh26.6 Trilioni). Leo Jumatatu,
Kamishina wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Nyanda Shuli akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana jukumu la Tume hiyo kutengeneza mpango wa Taifa
Tabora. Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Deusdedit Katwale ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama wilayani humo kuwakamata na kuwachukulia hatua kali za kisheria watu wanaotuhumiwa
Na Mwandishi wetu, Babati MWENGE wa uhuru umezindua mradi wa maji wa mamlaka ya wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA) uliopo kijiji