BENCHIKHA NA KANOUTE WAKUTANA JS KABYLIE – MWANAHARAKATI MZALENDO

Kocha Abdelhak Benchikha pamoja na Sadio Kanoute, waliowahi kuwa waajiriwa katika klabu ya Simba SC, wamekutana kwa mara nyingine katika kutekeleza majukumu ndani ya klabu ya JS Kabylie ya nchni Algeria ambayo hapo awali ilishawahi ingia mkataba na nyota Simon Msuva, kutokea ardhi ya Tanzania

#KonceptTvUpdatesImage

Related Posts