AUBAMEYANG KUTIMKIA LIGI KUU YA SAUDI ARABIA – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

Klabu ya Olympique Marseille ipo kwenye mazungumzo na klabu ya Al Qadsiah ya Saudi Arabia juu masharti ya malipo ya mshambuliaji Pierre Emerick Aubameyang anayetarajiwa kutimkia Uarabuni.

Marseille inajiandaa kumuuza nyota huyo raia wa Gabon ikiwa itafikia makubaliano na Al Qadsiah.

Aubameyang (35) anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka miwili mpaka Juni 2026.

Related Posts