Pesa ipo mechi za kirafiki leo

Michuano mikubwa mbalimbali imemalizika sasa ni mechi za kirafiki za kujiandaa na msimu mpya ambapo timu kibao leo zipo dimbani na ODDS KUBWA za kijanja zimeshawekwa ndani ya Meridianbet. Ingia na uanze kubeti sasa.

FC Copenhagen ya Denmark itakipiga dhidi ya Sdenderjyske ambapo mechi hii imepewa ODDS 1.44 kwa 4.80. Mwenyeji amemaliza nafasi ya 3 kwenye ligi yao huku mgeni akiwa hajacheza ligi kuu kwa muda sasa. Takwimu zinasema kuwa mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni 2021 ambapo hakuna ambaye alikuwa ambae kati yao baada ya kutoa sare ya 1-1. Je leo hii nani kuibuka kifua mbele?. Beti hapa.

Mechi nyingine itakuwa ni majira ya saa 10:00 jioni ambapo Luton Town baada ya kushuka daraja kule Ligi kuu ya Uingereza watawaalika nyumbani kwao FC Rukh Lviv kutoka kule Ukraine. Luton walimaliza nafasi ya 18 kwenye ligi baada ya kupoteza mechi ya mwisho wakiwa nyumbani. Wakati kwa mgeni yeye alimaliza wa 6 na pointi zake 49. 1.44 na 5.09 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Bashiri mechi za kirafiki zinazoendelea ndani ya Meridianbet uibuke kuwa Milionea leo. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Lask kutoka Austria atapambana dhidi ya Puskas Akademia ya kule Hungary. Mwenyeji amemaliza nafasi ya 3 kwenye ligi akikusanya pointi zake 34 huku mgeni wake pia akimaliza nafasi hiyo hiyo akikusanya pointi zake 55. Meridianbet wanampendelea Lask kuibuka na pointi tatu kwa ODDS 1.76 kwa 3.43. Wewe beti yako unaiweka wapi kati za hizi timu?. Jisajili sasa.

Saa 12:30 bingwa wa ligi kuu ya Afrika Kusini Mamelod Sundowns atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya SV Sandhausen ya kule Ujerumani. Ikumbukwe kuwa Masandawana wameachana na aliyekuwa kocha wao Rulani Mokwena kwahiyo sasa itakuwa na mwalimu mpya. Beti mechi hii ambayo imepewa ODDS 2.50 kwa mwenyeji na 2.28 kwa mgeni.

Energie Cottbus atakuwa uso kwa uso dhidi ya Hertha Berlin ambayo inashiriki ligi daraja la pili kule Ujerumani wakati kwa mwenyeji yeye anashiriki ligi daraja la 3 kule

Ujerumani. Mgeni anapewa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi leo akiwa na ODDS 1.55 kwa 6.27. Tengeneza jamvi sasa.

Utamu mwingine utakuwa kule Ureno ambapo FC Porto ataumana dhidi ya Al Arabi Doha ya kule Qatar. Porto alikuwa na msimu mzuri kabisa uliopita ambapo alimaliza nafasi ya 3 kwenye ligi. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet. Ingia na ubashiri sasa.

Saa 3 usiku Yeovil Town atakuwa mwenyeji wa Bristol Rovers ambao wanashiriki League 1 kule Uingereza ambapo walimaliza msimu wakiwa na pointi 57 na kushika nafasi ya 15. Nani kushinda leo? Mechi hii imepewa ODDS 3.87 kwa 1.64. Bashiri sasa.

Related Posts