RAIS SAMIA AFUNGUA JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA KALAMBO MKOANI RUKWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo tarehe 16 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia anaendelea na Ziara yake ya kikazi Mkoani Rukwa ambapo pamoja na mambo mengine atazindua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya kufungua jengo la Utawala Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo tarehe 16 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia anaendelea na Ziara yake ya kikazi Mkoani Rukwa ambapo pamoja na mambo mengine atazindua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo kutoka kwa Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kabla ya ufunguzi tarehe 16 Julai, 2024.

Taswira ya Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo ambalo limefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan, tarehe 16 Julai, 2024.

Related Posts