RPC MTATIRO AZINDUA KAMPENI YA USAMBAZAJI NISHATI YA KUPIKIA NCHINI KATI YA G4S NA ORYX GAS – MWANAHARAKATI MZALENDO

Mkurugenzi mtendaji wa Oryx Tanzani, Mr. Benoit Araman(kushoto) akimsikiliza jambo Mkurugenzi mtendaji wa G4S, Imelda Lutebinga(kulia)wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya ushirikiano kati ya G4S na Oryx Gas ya kusambaza Nishati Safi ya kupikia kwa kampuni ya G4S nchi nzima, Lengo likiwa kuunga mkono kampeni ya kumtua mama kuni kichwani iliyoanzishwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.Hafla hiyo ilifanyika jana jijini Dar es salaam.

Kamanda wa Polisi kinondoni, RPC Mtatiro Kitinkwi(katikati)pamoja na Mkurugenzi mtendaji wa Oryx Tanzani, Mr. Benoit Araman(kushoto) na Mkurugenzi mtendaji wa G4S, Imelda Lutebinga wakizindua kampeni ya ushirikiano kati ya G4S na Oryx Gas ikiwa ni kampeni mahusus ya kusambaza Nishati Safi ya kupikia kwa kampuni ya G4S nchi nzima, Lengo likiwa kuunga mkono kampeni ya kumtua mama kuni kichwani iliyoanzishwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.Hafla hiyo ilifanyika jana jijini Dar es salaam

Related Posts