Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa TANESCO Bi. Irene Gowelle atangaza kuanza rasmi kwa zoezi la Maboresho ya mfumo wa LUKU kuanzia tarehe 22 Julai 2024 kwa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani.
Shirika hilo limekuwa likifanya maboresho kila hatua ili kuhakukisha miaka ya baadae kuwepo na upatikanaji wa huduma za umeme za uhakika nchini.
#KonceptTvUpdates