THOMAS MULLER ASTAAFU KUICHEZEA TIMU YA TAIFA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Thomas Muller (34) atangaza rasmi kustaafu kuitumikia Timu yake ya Taifa la Ujerumani leo.

Muller amecheza Timu ya Taifa ya Ujerumani kwa miaka 14 sasa (2010 – 2024) ambapo amecheza mechi (131) mpaka sasa, na kuweza kufunga mabao (45) kwa muda wote aliochezea Timu hiyo ya Taifa lake.

Mbali na hapo Muller bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Klabu ya Ujerumani Bayern Munich ambayo anachezea kama kiungo mshambuliaji na straika wa klabu hiyo.

#KonceptTvUpdates

Related Posts