CCM NI CHAMA KINACHOFUATA DEMOKRASIA NA KINASHINDA KWA HAKI- CPA MAKALLA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Chama cha Mapinduzi kinaamini kwenye Uhuru na haki na demokrasia na CCM haiwezi kuharibu ila Kitafuata taratibu zote za Uchaguzi ndo mana tunafanya Ziara Ili kueleza Mazuri yetu kwani Ilani imetekelezwa hatuna kupagawa.

Kama kuna mtu anafikiri Chama cha Mapinduzi hakishindi kwa haki anajidanganya ukweli ni kwamba CCM ndo Chama kinachoshinda kwa haki kwani ndo chama kinachotekeleza Ilani yake hivyo kuna mafanikio yote yaliyopo ni ya CCM kwanini tusishinde.

Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Amos Makalla amesema hayo akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe Viwanja vya Panga Wazo.

#KonceptTvUpdates

Related Posts