Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Chuo cha MUST, Kampasi ya Rukwa – MWANAHARAKATI MZALENDO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, Kampasi ya Rukwa kwenye hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Kianda Mkoani Rukwa tarehe 17 Julai, 2024.No alt text provided for this imageTaswira ya Majengo ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, Kampasi ya Rukwa ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la Msingi ujenzi wake tarehe 17 Julai, 2024.No alt text provided for this image Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kianda mara baada ya kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, Kampasi ya Rukwa tarehe 17 Julai, 2024.No alt text provided for this image Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) mara baada ya kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa Chuo hicho Kampasi ya Rukwa kwenye hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Kianda Mkoani Rukwa tarehe 17 Julai, 2024.No alt text provided for this image Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) Kampasi ya Rukwa kuhusu ujenzi wa Kampasi hiyo tarehe 17 Julai, 2024.No alt text provided for this image. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, Kampasi ya Rukwa kwenye hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Kianda Mkoani Rukwa tarehe 17 Julai, 2024.

Related Posts