WAZIRI WA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO ATEMBELEA JENGO LA ZBC RADIO RAHALEO ZANZIBAR

 

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akifuatana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC) Ramadhan Bukini wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC) Ramadhan Bukini wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akifahamisha Jambo wakati akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC) Ramadhan Bukini  wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali  wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZNAIZBAR.17/07/2024.

Related Posts