Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameelezea wasiwasi wake kuhusu vifo na majeruhi vinavyoripotiwa nchini Bangladesh huku kukiwa na maandamano ya wanafunzi na
Day: July 18, 2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JULAI 19,2024 Featured • Magazeti About the author
“Nafurahi kucheza Yanga, kuna wachezaji wakubwa hapa na kila mchezaji anatamani kucheza ndani ya Yanga ni timu kubwa na nipo hapa kwa ajili ya
Shirikisho la soka la Senegal (FSF) linataka kumuongeza mkataba Kocha, Aliou Cissé hadi fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo, akizungumza Leo Julai 18, 2024 wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliposimama kuwasalimia
Lidia Brito, Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Sayansi Asilia wa UNESCO. Credit: Busani Bafana/IPS by Busani Bafana (addis ababa) Alhamisi, Julai 18, 2024 Inter Press Service
Mratibu wa Klabu ya Yanga mkoa wa Dar ss Salaam, Shaban Mgonja, amesema hawamtambui Juma Ali (Magoma) kama mwanachama wa klabu hiyo na
Dar es Salaam. Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela wanajamii wametakiwa kumuenzi kiongozi huyo kwa vitendo. Maadhimisho hayo ambayo hufanyika Julai 18
Manchester City imethibitisha kumsajili winga wa Kibrazil, Savinho kwa ada ya pauni milioni 21 itakayofikia milioni 33.6 pamoja na nyongeza akitokea Troyes ya Ufaransa.
Dar es Salaam. Tanzania imeingia makubaliano na Taasisi ya Bioventure for Global Health (BVGH) ya nchini Marekani itakayosaidia kutoa mafunzo kwa wataalamu wa tiba mionzi