BAHATI YAKO IPO MERIDIANBET LEO

NDUGU mteja wakati huu ambao ligi mbalimbali hazijaanza endelea kubashiri na Meridianbet mechi za kirafiki ambazo nazo zina ODDS za kibabe. Suka jamvi lako hapa na ujiweke kwenye nafasi ya kuibuka bingwa.
FC Dynamo Kyiv atakipiga dhidi ya Union Berlin kutoka kule Ujerumani ambapo nafasi ya kuondoka na ushindi leo hii akipewa mgeni kwa ODDS 2.19 kwa 2.60. Kyiv kutoka Ukraine kule katika ligi yao alimaliza nafasi ya 2 na pointi zake 69, huku kwa Mjerumani huyo yeye hakuwa na msimu bora sana kwani alishika nafasi ya 15 baada ya kupoteza mechi 19 na kuondoka na pointi zake 33. Je nani leo hii atashinda?. Beti hapa.
Mechi nyingine ambayo ina mzigo wa maana ni hii ya Al-Ahli ya Saudi Arabia dhidi ya Ujpest FC Budapest ya kule Hungary. Mechi hii imepewa ODDS 1.81 kwa 3.28, japokuwa mgeni kwenye ligi yao ameshika nafasi ya pili kutoka mwisho. Ahl ambayo ilisajili wachezaji wengi wazoefu ilimaliza wa tatu kwenye ligi. Nani kuibuka mbabe siku ya leo?. Jisajili hapa.
Bashiri mechi za kirafiki zinazoendelea ndani ya Meridianbet uibuke kuwa Milionea leo. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Mzigo mwingine upo kwenye mechi ya Lazio Rome dhidi ya Trapani Calcio ambayo inashiriki Serie D kule Italia. Lazio ambayo kwasasa ipo chini ya kocha mpya Igor Tudor imeanza kucheza mechi za kirafiki kwaajili ya kujinoa na msimu ujao. Meridianbet wameipa mechi hii machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubeti sasa.
FSV Mainz atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Eintracht Trier kutoka kule Ujerumani ambayo haijapewa nafasi ya kushinda kwenye mchezo huu wa leo ikiwa na ODDS 15.68 huku mgeni wake akiwa na 1.05. Je nani kuodoka na ushindi leo?. Tengeneza jamvi hapa.
Vilevile AC Omonia ya Cyprus itakuwa na kibarua dhidi ya AEK Athens kutoka kule Ugiriki huku wakiwa wamemaliza nafasi ya pili kwenye ligi yao. Mwenyeji amepewa ODDS 5.09 kushinda mechi hii kwa 1.49 leo?. Beti yako wewe unaiweka wapi kwenye hizi timu mbili?. Suka jamvi sasa.
Pia mechi nyingine ya kubashiri leo ni hii ya Fenerbahce Instanbul ambao wataonyeshana mbavu na Hull City ambao wanashiriki ligi daraja la kwanza kule Uingereza yaani Championship. Timu hiyo ya Uturuki ilimaliza nafasi ya pili kwa pointi 99 huku City yeye akimaliza nafasi ya 7 na pointi zake 70. Nani unamdhamini ndani ya meridianbet?. Suka mkea wako hapa.
Leo hii bingwa wa ligi ya Uturuki Galatasaray Instanbul atakuwa ugenini kucheza dhidi ya Trencin ya kule Slovakia ambao wao walimaliza nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi zao 49. Mwenyeji hapewi nafasi ya kushinda leo kwani ana ODDS 14.7 kwa 1.07. Jisajili hapa.
Saa tatu usiku Panathinaikos Athens atakuwa na kibarua cha kumenyana dhidi ya Maccabi Netanya ya Israel. Mwenyeji ambaye anashiriki ligi kuu ya Ugiriki alimaliza kwenye nafasi ya 4 msimu uliopita, lakini pia ndio amepewa nafasi ya kuchukua ushindi leo akiwa na ODDS 1.32 kwa 6.27. Tengeneza jamvi sasa.
SC Braga ataumana dhidi ya Rayo Vallecano ya kule Hispania huku mechi hii ikiwa imepewa ODDS za kibabe kwelikweli. Mwenyeji anakipiga katika ligi ya Ureno huku msimu uliopita wakimaliza nafasi ya 4 wakiwa na ponti zao 68 huku timu mgeni ikimaliza nafasi ya 17 kule LALIGA wakiwa na pointi zao 38. 1.51 na 4.90 ndio odds za mechi hii. Bashiri sasa.

Related Posts