CCM YAENDELEA KUSIMIKA MATAWI YAKE DAR

Katibu wa NEC -Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Amos Makalla amefungua Jengo la Ofisi za CCM Tawi la Makumbusho.

CPA Makalla akifungua Tawi la CCM amesema; nawapongeza wanaMakumbusho hili ni Tawi la Mfano hongereni ni la Kisasa na sasa litakuwa mfano kwa Mkoa wa Dar es salam lakini Tawi hili la Makumbusho linazidi Kwa uzuri Makao Makuu ya Chama chochote cha Upinzani hakika mmekiheshimisha Chama cha Mapinduzi.

Lakini akasisitiza kuwa Viongozi wa Tawi la Makumbusho ni Viongozi wake ni Vijana na hii inatuma mesegi kwa kwao kuwa Chama kipo Makini kinawaamini vijana kwenye kushika dola na uzuri wa Ofisi ni sifa kwetu kwani wenzetu hawana hata Ofisi ya kata wanafanyia vikao nyumbani mwao.

Ziara ya Mlezi wa Mkoa wa Dar es salam

#KonceptTvUpdates

Related Posts