DUBE ATOA SIRI HII YA WACHEZAJI KUHUSU YANGA – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

“Nafurahi kucheza Yanga, kuna wachezaji wakubwa hapa na kila mchezaji anatamani kucheza ndani ya Yanga ni timu kubwa na nipo hapa kwa ajili ya kufanya kazi nimepitia kipindi kigumu na sasa natamani kufurahi na kuitumika klabu kwa sasa,”

Mambo yanakwenda vizuri,nimekaribishwa vizuri kuanzia kwa mashabiki,viongozi,na benchi la ufundi na kila mtu na najisikia furaha na nipo tayari kuwafurahisha na kama nitakuwa timamu kimwili kwenye kila mchezo”  Prince Dube, Mshambuliaji wa Yanga SC

 

Related Posts