KAMATI MAALUM OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR YATEMBELEA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

KAMATI Maalum Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar imetembelea Ofisi kuu ya Utabiri, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na kupata uzoefu wa utoaji wa taarifa za tahadhari za hali mbaya ya hewa zinavyosaidia katika kukabiliana na maafa.
 



Related Posts