YANGA WAMKATAA MZEE MAGOMA – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

 

Mratibu wa Klabu ya Yanga mkoa wa Dar ss Salaam, Shaban Mgonja, amesema hawamtambui Juma Ali (Magoma) kama mwanachama wa klabu hiyo na hawatompa nafasi ya uanachama kwa mkoa huo mpaka pale atakapotekeleza matakwa ya kikatiba ya kuwa mwanachama wa Klabu ya Yanga.

 

 

Amezungumza hayo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Makao Makuu ya Yanga Jangwani Dar es Salaam Alhamisi Julai 18, 2024 .

 

 

“Sisi kama viongozi wa mkoa hatumtambui Magoma kwamba ni mwanachama wa klabu ya yanga” Ameeleza Mgonja.

Related Posts