AUBAMEYANG AJIUNGA NA QADSIAH YA SAUDI ARABIA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Nyota wa Soka kutoka Gabon na Nahodha wa Timu ya Taifa hilo Pierre Emerick Aubameyang amesajiliwa Rasmi na Klabu ya Al Qadsiah ya SAUDI ARABIA.

Aubameyang amesajili mkataba kwenda klabu hiyo kutoka Klabu ya Marseille ya Ufaransa.

Mkataba wake mpya na Al Qadsiah ni wa miaka miwili; na utamalizika mwezi Juni 2026

Aubameyang amewahi kucheza katika vilabu mbalimbali ikiwemo AC Milan (2008 – 2011), Dortmund (2013 – 2018), Arsenal (2018 – 2022), FC Barcelona (2022), Chelsea (2022 – 2023), Marseille (2023 – 2024)

#KonceptTvUpdates

Related Posts