BLAQBONEZ AMEKUJA KIVINGINE KWENYE MUZIKI WA HIP HOP

 

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Akumefule Chukwuemeka Georg maarufu kama  Blaqbonez anayewakilisha lebo ya Chocolate City Music, Julai 19,20024 leo anatarajia kuachia kazi yake mpya iitwayo  Fire On Me”.

Mkali huyo anaachia kazi yake hiyo  huku akiwa amepata mafanikio  makubwa kupitia albamu yake ya tatu iitwayo  “Emeka Must Shine”.

 Kwenye ngoma yake hii mpya ya “Fire on Me” anapita vizuri kwenye misingi ya Hip Hop katika kila mstari, na unavuta hisia na kukonga moyo.

“Sex Over Love” ndio Albamu ya kwanza ya 

Blaqbonez ambayo ilitoka 2021, na ilishika nafasi ya kwanza kwa kuwa Albamu ya #1 nchini Nigeria kwenye Apple kwa wiki tatu mfululizo; Wimbo #1 nchini Nigeria – Apple kwa wiki moja; #2 Nyimbo 100 Bora – Deezer.

Mwaka 2022 aliachia  albamu ya “Young Preacher” na 2013  albamu ya “Emeka Must Shine” ilitoka.

Kazi za msanii huyu zimetajwa kuwavutia mastaa wakubwa kama 

Amaarae, Ludacris, Zlatan, ODUMODUBLVCK. Lojay, Blxckie, na wengine  na kitajwa kama wasanii wa kuvutia wa hip hop barani Afrika.

Related Posts