TIMU YA FOUNTAIN GATE U-17 YAPATA AJALI ASUBUH HII – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

 

Kikosi cha timu ya Vijana wa chini ya Miaka 17, Fountain Gate Academy kimepata Ajali asubuhi ya leo Ijumaa baada ya kugongana na Lori lililokuwa iimebeba Mchanga, Kigamboni Jijini Dar es Salaam.

 

 

Kikosi hicho kilikuwa kinaenda katika mchezo wa Ligi ya U-17 kucheza dhidi ya Malimao FC katika Uwanja wa TFF ulioko Kigamboni.

 

 

Katika Ajali hiyo hakuna aliyefariki, lakini kuna majeruhi watatu waliowahishwa Hospitalini.

Related Posts