Kabati Lililokuwa Likitumiwa Na Marehemu Kobe Bryant ‘Staple Center’ Kuanzia Mwaka 2004 Hadi 2016 Limewekwa Mnadani Katika Tovuti Ya #Sotheby.
Kabati Hilo Linatajwa Kuanza Kuuzwa Kwa Kiasi Cha Tsh Bilioni 1.8/= Hadi Kufikia Tsh Bilioni 4/=. Sehemu ya mapato ya mnada Huu Utaenda Kwenye Mfuko Wa Taasisi Ya Vijana wa Los Angeles Lakers, Ili kuendeleza urithi wa Bryant.
Kobe Bryant Alifariki Dunia Katika Ajali Ya Helikopta Januari 26, 2020 Pamoja Na Wenzake 8 Akiwemo Binti Yake ‘Gianna Maria Bryant’.