NOVATUS DISMAS AJIUNGA NA GOZTEPE SK YA UTURUKI

#MICHEZO Klabu ya Soka ya nchini Uturuki, Gozpete SK imefaikiwa kuinasa saini ya Mchezaji wa Kimataifa Mtanzania Novatus Dismas Miroshi kutoka klabu ya S.V. Zulte Waregem ya Ubelgiji kwa mkataba wa miaka minne.
Leo nyota huyo ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Klabu hio.

Powered by @kobemotor @acbtanzania_ @vodacomtanzania @hisense_tanzania_official @betpawatanzania @wearekerry
#KonceptTvUpdates

Related Posts