VIJANA MSIJIHUSISHE NA MAANDAMANO – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

 

 

Rais wa Nigeria Bola Tinubu amewataka Vijana kutojihusisha na Maandamano dhidi ya kupanda kwa gharama za maisha yanayopangwa kufanyika wiki ijayo.

Rais Tinubu amesema maandamano hayo ni kazi ya watu waovu wenye nia ya kuyatumia matatizo ya kiuchumi ya nchi hiyo kama mtaji.

Waandaaji wa maandamo hayo wamesema wamepata hamasa kutokea kwenye maandamano ya nchini Kenya.

Related Posts