BWAWA LA MINDU LILINDWE NI TEGEMEO LA HUDUMA YA MAJI MORO- AWESU

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameelekeza Wataalam wa Sekta ya Maji kuwashirikisha wananchi katika kulinda na kuendeleza bwawa la Mindu kwa sababu bwawa hilo ni tegemeo kuu kwa huduma ya maji mjini Morogoro.

#KonceptTvUpdatesInaweza kuwa picha ya Watu 8 na maandishi

Related Posts